In cart Not available Out of stock

Je Refuse, is a song by Wendo Musaly featuring Swaga Milionea. Je Refuse, was uploaded on August 8, 2020, preordered on August 9, 2020, and it was released August 14, 2020. It was released under WMTv17 Label.

Lyrics

Ce n'est pas possible Ce n'est pas possible Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux

Ce n'est pas possible

Ce n'est pas possible

Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux (Je refuse)

Ce n'est pas possible

Ce n'est pas possible

Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux (Je refuse)


Mi decho encasa

Eu stava duer

E andar con meu amigo Ilo ukubali

Kweli inaumiza mbingu, marafiki na ndugu I give you everything, nini unaitaji,

Dola helfu kumi nilikupa jua mtaji Nilifanya unachotaka kwababu nakuitaji,

Dharau ukaonyesha, Maziwa ukanyonyesha Kwakila alie itaka

Ukampa YoroGang

We nimbuzi pia Kwakweli usie na pembe

Kweli auna uruma

Unamoyo wachuma ao unamoyo wa nyama

Mapenzi nimatamu ila yanamwisho wake

Nikiamua kukupenda nakupenda paka kufa Ila we noma nimekuchoka mpaka kufa

Umetembea sana kumaliza mpaka taifa

Nifanye tena nini ili uniamini?

Ahh Milionea


Ce n'est pas possible

Ce n'est pas possible

Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux (Je refuse)

Ce n'est pas possible

Ce n'est pas possible

Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux (Je refuse)


Mara yakwanza nimekuona nimevutiwa na uzuri wako

Mama nikamuacha Mpaka nikaamia kwako

Ukaniforce, kwanguvu nichukue gari yamkopo

Ulipo niacha kama mlalaoi

Nililia kama mtoto

Nikakaha nikawaza nikasema ihi ni ndoto

Mwanamke we wawapi kwani Kwani we mchawi

Ao unavuta bangi nakufanya kua

Hight Iweje uje kwetu unavaa nguo fupi

Mbele yamama Swaga, oh labda inakuaga

Nikapiga balinciaga nikatoka nikaenda

Kanifata nyuma nyuma ukanikuta kwa mwanangu

Ukanipiga kofi, nikasema safi, sibishi nakubali wewe nipisi kali

Tabia zako mbovu babe umefeli

Kuda dadeki

Mbona Ihi khali Hainishtui ahh


Ce n'est pas possible

Ce n'est pas possible

Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux (Je refuse)

Ce n'est pas possible

Ce n'est pas possible

Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux (Je refuse)

Ce n'est pas possible

Ce n'est pas possible

Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux

Ce n'est pas possible

Ce n'est pas possible

Tu viens dans ma vie

Et disparais quand tu veux